dailyhabari

Daily News/HabariLeo blog

4 Comments »

 1. THESE PICTURES ARE HERE FOR AGES, NO UPTODATES, STOP BEING LAZY.

  Comment by EDWARD | December 13, 2009 | Reply

 2. THIS SITE IS VERY GOOD IT GIVE US ANY TYPE OF NEWS BY TIME TO TIME SO I HIGHLY RECOMMENDED THIS SITE.

  ————————–

  Adam.Smith

  Comment by ADAM SMITH | December 17, 2009 | Reply

 3. the future belongs to this children God give them all they aim at.

  Comment by jacob mayo | March 27, 2010 | Reply

 4. Mimi nataka kushare na watu hapa kuhusu FLOSS yaani Free Libre Open Source Software.Uhuru wa kutumia Software mbalimbali bila gharama au kwa gharama nafuu sana,hasa za kufundisha au kupewa vitu kama CD na kadhalika.Kuna software nyingi sana ambazo kwa kutumia jamii ya wataalamu wamezitengeneza na wanaendelea kuzitengeneza na kwa matumizi yote watu wamepata msaada mkubwa sna katika software hizi.kamanchi yetu ilivyo sio tajiri kihivo na kwa sbabu hii ni muhimu kupunguza matumizi ya kununua Software mbalimmbali kwa gharama kubwa.Pia sotware hizi kama UBUNTU ni nzuri sana katika VIRUS.ukiwa nayo katika computer au Laptop yako unakuwa mbali na VIRUS kabisa.Ukiwa na SERVER inayorun under Apache unakuwa pia mbali na matatizo mbalimbali na kupunguza sana utendaji wa kazi na ufanisi kuongezeka.Kuna software mbalimbali nyingi mno ambazo ni open source na haihitaji gharama kabisa ni mtumiaji tu kujua ni nini anataka na kupitia communities au forum,blog,chat n.k mbalimbali kupata kile anachohitaji katika unafuu mkubwa.Siku hizi kutengeneza Website ni sawa na bure kabisa.Free source inaondoa kila kitu ambacho kilikuwa katika hali ya ukiritimba na gharama kubwa na kama watanzania tunapaswa kuchangamkia training hizi na kujifunza mambo mengi kwa urahisi mkubwa na kuondokana na umaskini uliokidhiri.Kwani ukijua haya lazima utajipatia kipato sio kwa kuuza software hapna lakini gharama kidogo zitokanazo na sotware hizo labda utataka kucustomize yaani kuifanya ya kwako sasa yule ambaye atafanya vile atahitaji hela kidogo kwa muda wake anaoutumia n.k Naamin kuanzia sasa tukisikia warsha kama hizi za Free Open Source hatutaacha kuhudhuria.Mimi nimehudhuria moja ambayo ilikuwa inaendeshwa na Mtaalam wa kimataifa katika nyanja ya Information Technology kimataifa ndugu Edger Telesphory wa NIT akisaidiana na wataalam wenzake wa UCC ambao nao ni wa kimataifa kama yeye yaani Fred T,Lawrence na Atanas yaani tulifurahia sana mafunzo haya ya kimataifa ya Advanced African Business Model with Free and Open Source Software ya wiki mbili.yaani hivi sasa tunaweza kuwafundisha na kuwatengenezea watu chochote wanachokihitaji kwa msaada wa Open Source ambazo zinapatikana kirahisi kwa kutumia Internet facilities.Hahitaji sana uwe mtaalamu sna wa Computer lakini Basics zinatosha kutegemeana na lile unalotaka kufanya.kwani tulikuwa na watu wa fani mbalimbali wahadhiri wa vyuo madaktari,wataalamu wa computer na wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu na kadhalika lakini ppia walikuwepo wengine ambao wako katika fani mbalimbali na hata wengine ni watu wa kawaida sana pia wajasiriamali na wakurugenzi wa makampuni mbalimbali kwa hakika ilikuwa ni fantastic training.Natamani sana kama waandishi wa habari na vyombo vya umma wangeelewa hili na pia serikali ili kuboresha huduma zetu na kuondokana na dhana potofu iliyojengeka kuwa kutumia open source ni kitu kisicholeta tija kumbe ni kinyume chake kwani utakuwa secured na kuondokana na matumizi makubwa ya kununua software ambapo kwa hali yetu tungeweza kuokoa fedha nyingi kwa kutumia resources hizi kwa gharama ndogo na pia tunakuwa more secured kwani virus utavisikia kwa wengine bali UBUNTU sio rahisi kabisa kuwa attacked na virus na pia utashare na wengine na kuboresha kile unachohiitaji bila gharama yoyote.Ni mimi Neatness Msemo
  nmuzeh@yahoo.co.uk

  Comment by neatness | August 11, 2010 | Reply


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: