dailyhabari

Daily News/HabariLeo blog

1 Comment »

  1. Raymond Mndolwa, habari za kazi na pole kwa majukumu ya kila siku. Natumia nafasi hii kukuuliza kama unajua kinachoendelea katika PLOT NO.1840 MASAKI (CHOLE ROAD-FLAT ZA ILIYOKUWA NASACO). Katika nyumba karibu zote, mradi wa kusambaza maji umeenda vyema. Lakini katika Plot tajwa hapo juu mambo yamekuwa ya kusikitisha sana. Hata baada ya kujaza fomu za kuomba kupitishiwa maji, bado wahusika hawakuwa tayari. Uchunguzi tuliofanya umeonesha kuwa kuna vijana wako wanauza maji katika plot hiyo. Hivyo, kuruhusu maji yasambazwe ni kuhitimisha biashara yao. Aidha, hakuna lori zinazoleta maji hapo. Uwezekano mkubwa ni kuwa maji yanayouzwa wame-TAPE eneo la jirani. Kama ndivyo, tunawasiwasi pia kama kweli maji hayo yanalipiwa ipasavyo. Kwa ujumbe huu, naomba uchunguze suala hili ili kama kuna hatua zichukuliwe na hatimaye nasi tupewe haki yetu ya kuunganishiwa maji.

    Nakutakia uchunguzi mwema.

    Ndimi raia mwema na mlinzi shirikishi wa mali za taifa letu.

    Comment by NASSACO FLTS- MASAKI | April 13, 2010 | Reply


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: